Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Mambo 5 Matano Usiyoyafahamu Kuhusu Fursa ya Smile We Care

Karibu katika blog yetu inayolenga kukuonyesha na kukuchambulia njia sahii za kutengeneza pesa mtandaoni.

Leo katika makala hii nitaenda kukufahamisha kuhusu fursa ya Smile We Care inayotolewa na Kampuni ya Smile We Care International na pia nitaenda kukujuza mambo muhimu matano ambayo pengine huyajui kuhusu fursa ya Smile We Care.

Usiyoyafahamu Kuhusu Fursa ya Smile We Care


Bila kupoteza muda tuanze kuchambua makala ya leo kuhusu fursa ya Smile We Care.


1. Smile We Care ni nini?

Smile we care ni kampuni binafsi ya kimataifa inayotoa mafunzo mbali mbali ya Ujasiliamali kwa wanachama wake. Imeanzishwa kwa lengo la kuwainua watu kiuchumi na kuwawezesha wenye kipato cha chini ili kufikia malengo yao kuanzia ya mtu mmojammoja, hadi ngazi ya Kaya, Familia, Jamii, Taifa na Kimataifa. 

Makao makuu ya Smile We Care yapo NIGERIA na mwanzilishi wake anaitwa Mr Comrade Inyang James Friday.

Comrade Inyang na bodi yake wana uzoefu wa muda mrefu sana katika maswala ya maendeleo ya jamii. Kwa kushirikiana na kusaidiana na wadau mbalimbali duniani walianzisha kampuni hii kwa lengo la kutatua matatizo ya kiuchumi ikiwemo tatizo sugu la ukosefu wa ajira katika jamii ili kila mmoja afikie malengo yenye mafanikio makubwa.️ Maana "UMOJA NI NGUVU

Fursa ya Smile We Care imeingia Afrika kwa mara ya kwanza ikiwemo Tanzania mnamo 01/02/2019 na tayari imesambaa katika nchi zingine kama; Ghana, Oman, Ivory Coast, Togo, South Africa, Botswana, Zimbabwe, Kenya, Uganda, Zambia, Namibia, Guinea n.k.

Smile We Care iliingia kwa mara ya kwanza hapa Tanzania mnamo 01/02/2019, na sasa imesambaa na kuwafikia watu wengi kwa mfumo wake wa "Online Marketing"


2. Je Fursa ya Smile We Care ni halali au Utapeli?

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza hili swali kila mara kulingana na uzoefu wangu kwenye kampuni hii nakanusha kwamba kampuni hii siyo utapeli na ni fursa halali ya unayoweza kujiingizia kipato.


Soma pia: Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara Kuhusu Fursa ya Smile We Care.

Ushahidi ufuatao unathibitisha Kuwa fursa hii ni halali;

(i) Kampuni hii imesajiliwa Kisheria kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na wanalipa kodi. Kwa Hapa Tanzania imesajiliwa na BRELA na pia TRA kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini;


Fursa ya Smile We Care
Picha hapo chini inaonyesha usajili kutoka BRELA, shirika la serikali linalosajili makampuni.


Mambo matano Usiyoyafahamu Kuhusu Fursa ya Smile We Care

(ii) Kampuni ina ofisi sehemu tofauti tofauti Afrika, hivyo basi unaweza kutembelea ofisi zao kwa maelezo zaidi kuhusu fursa hii.

Kwa Tanzania Ofisi kuu ipo Ngara- Kagera mtaa wa Nyamihaga, katika jiji la Dodoma wapo Muyuji/MipangoKaribu na Assek College, Arusha wapo Unga-Limited jirani na Mnara wa Vodacom, Dar es Salaam tawi lipo Posta mpya Jengo la Kitega uchumi ghorofa ya 13 mlango wa kwanza kushoto. Pia matawi mbalimbali ya kampuni yanaendekea kufunguliwa kwenye mikoa mbalimbali kwa Tanzania.

(iii) Uthibitisho wa malipo kutoka Smile We Care. Smile We Care inalipa na pesa unatumiwa inakufikia moja kwa moja mpaka kwenye simu yako. Kwenye picha hapo chini niliomba kutoa dollar $8 ambayo ni sawa na 18000/= ya Kitanzania kwa mara ya kwanza baadaye nikatoa dollar $ 4 ambayo ni sawa na 9200/= ya Kitanzania


Angalia video hii inayoonyesha namna ya Kutoa pesa zako Kwenye account yako ya SMILE WE CARE INTERNATIONAL




Kwenye picha hapo chini ni baada ya kutumiwa kiasi nilichotoa kwenye namba yangu ya Vodacom M-Pesa.

Malipo kutoka Smile We Care

(iv)Mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali. Smile we Care wanatoa mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali kupitia semina mbalimbali wanazozifanya hapa nchini. 


Bonyeza hapa kuona orodha ya mafunzo yanayotolewa na kampuni ya Smile We Care


3. Je Kampuni ina stage ngapi?

Kampuni ya Smile We Care ina stage 5 tu pia ina Matrix fupi kamainavyoonekana kwenye picha hapo chini; 


Jinsi ya kujiunga na Smile We Care

Stage izo ni                        

 √Trainee = unalipwa 18400Tshs √Induction = unalipwa 27600Tshs


√STAGE 1(SILVER) unalipwa 322,000Tshs


√STAGE 2(DIAMOND) unalipwa 1,150,000Tshs


√STAGE 3 (GOLD) unalipwa 9,200,000 Tshs


√STAGE 4 (AMBASSADOR) unalipwa 56,120,000 Tshs

4. Smile We Care Inafanyaje kazi?

Unapotoa pesa ya kufungulia account yako $10 = Tsh 23,000/=

Usajili wako utakamilika muda mchache sana

Na papo hapo unakua member tayari,


 Stage ya Awali TRAINEE STAGE

                 👷🏼

           👷🏼. 👷🏼

      👷🏼 👷🏼 👷🏼 👷🏼

Unapaswa kutafta watu wawili wajiunge 

Kila mmoja atakae jiunga utapata $2 = Tshs 4,600/=

√Watu wawili utalipwa $4=Tshs 9,200/=

√pia hao watu wako wawili wakiunga wenzao wawili wawili wewe italipwa $4=Tshs 9,200/=


Soma pia: Jinsi ya Kutengeneza dollar $3 kila siku kwa kutumia Simu yako.

INDUCTION STAGE

                 .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥


√ watu wako wanne walioletwa na watu wako wawili na wao wakiunga wenzao wawili wawili utaenda stage1 na utalipwa $12=Tsh27,600/=


✓Jumla katika stage hii unakuwa umelipwa jumla ya $20=Tsh46,000/=

 


STAGE ONE SILVER

                 .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥


hapa baada ya watu wako 7 kulia na kushoto kuingia stage one utakua umelipwa jumla ya 

$140 = Tsh 322,000/= hapo $100 utaingiziwa kwenye acc yako na kisha $40 utapewa zawadi ya vyakula mbalimbali km mchele mafuta nk

    STAGE TWO

                 .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥

√Jumla ya $240 = Tsh 552,000/=


√Zawadi zingne utapewa pesa ya uongozi $40 = Tsh 92,000/= hii pesa utapewa kila mwezi mfululizo wa miez mitano 


√Chakula chenye thamani ya $80 =Tsh 184,000/=


√Vitu vya nyumbani kama vile jiko la gesi origino, blenda nk vyenye thaman ya $80 = Tsh 184,000/=


√Jumla ktk stage hii ya pili utakua umepewa $500 Tsh 1,150,000/=

wow! hongera sana umeingia sasa stage three.


HATUA YA TATU (GOLD)

                 .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥

√Matchng bonus $2280=Tsh 5,244,000/=


√Pesa ya uongozi $80 Tsh 184,000/= utapewa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 yaani mwaka mmoja mfululizo,

Vyakula vyenye thamani ya $250 = 575,000/=

Vifaa viwili vya umeme kati ya (Led TV, Tablet, Phone, Fridge) vyenye thamani- $250=Tsh 575,000/=


√Mafunzo na elimu ya biashara 

√Pesa ya kutalii nchini Kwako $250 = Tsh 575,000/=


√Jumla utakua umepokea $4000 = Tsh 9,200,000/=

 BOOOM BOOOM HONGERA SANA SASA UPO STAGE FOUR


STAGE FOUR (AMBASSODOR)

                .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥

Hii ndo hatua ambapo utasema kabisa UMASIKINI Kwaheriii,,

√Pesa kwaajili ya gari mara tu uingiapo stage hii $10,000 = Tsh 23,000,000/=

√Pesa ya safari ya Dubai $2000 =Tsh 4,600,000/=


√Matching bonus $8000 =Tsh 18,400,000/=


√Pesa ya uongozi $80 = Tsh 184,000/= kila mwezi kwa muda wa miezi 24 yaani miaka 2 mfululizo,


√Vyakula utapewa vyenye thamani ya $400=Tsh 920,000/=


√Vitu vya kutumia nyumbani (Led TV, Generator, DeepFreezer, AirConditioner, Laptop, Home Theater Set) $400 = Tsh 920,000/=


√Pesa kwaajil ya kufanyia utalii wa ndani $400= 920,000/=


√Jumla utakua umepata $24400 = Tsh 56,120,000


STAGE FIVE (STAR DIRECTOR)

                .👤

           👤. 👤

     👤 👤 👤 👤

     👥 👥. 👥 👥

√Matchng bonuns $6000 = Tsh 13,800,000/=


√Pesa ya nyumba $16000 = Tsh 36,800,000/=


√Utapewa gari nyingne ya $20000 = Tsh 46,000,000/=


√Pesa ya kuzishia biashara $8000 = 18,400,000/=


√Utapewa pesa ya uongozi kila mwezi mwaka $200 = Tsh 460,000/= kwa muda wa miaka mitano 


√Chakula chenye thamani ya $400 = Tsh 920,000/=


√Pesa ya kukusomeshea familia $4000 = Tsh 9,200,000/=


√Pesa ya safari $2000 = 4,600,000/=


Jumla utakua umepewa $66000 = Tsh 151,800,000/=

Tunajari tabasamu lako 


5. JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT

Ukitaka kujiunga na fursa hii wasiliana na mtu aliyekushirika fursa hii, mwombe akutumie namba za kulipia gharama za usajili wa akaunti ya Smile We Care ambayo ni Tsh 23000/= sawa na $10 za Kimarekani.


Pia unaweza kusaidiwa zaidi kuhusu fursa hii, namna ya kulipia na namna ya kutoa kwa kujiunga na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram ya Smile We Care.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM


BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP.

N.B. Kama utalipia gharama ya usajili kwa njia ya M-pesa hakikisha jina la mpokeaji linakuja "Smile We Care International" kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;


Kwa mitandao mingine baada ya kulipia litakuja jina la Ambassador wa Smile We Care Tanzania ndugu Juma Dedu.

HITIMISHO

Tambua kuwa fursa ya Smile We Care haitakufanya uwe tajiri kwa mda mfupi, ili kufanikiwa katika fursa inahitaji uvumilivu, kutokata tamaa na kufanya kazi kwa bidii. Nipende kukukumbusha kuwa kama unahitaji maelezo zaidi kuhusu fursa hii jiunga na group letu la Telegram kwa kubofya hapa na group la WhatsApp kwa kubonyeza hapa.


Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa email johonline2@gmail.com

Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) johonline2@gmail.com kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.



Post a Comment

0 Comments