Leo ni siku nyingine ambayo nimeamua niwashirikishe namna ya kujiunga na fursa ya Smile We Care na namna ya kumsajili mtu ndani ya fursa ya Smile We Care.
Kama tujuavyo ndani ya kampuni ya Smile We Care kuna faida nyingi ikiwemo mafunzo ya ujasiriamali, ufadhili wa Elimu, misaada ya kijamii, na malipo kwa kila stage.
Soma Pia: Haya ndiyo mafunzo 13 ya ujasiriamali yanayotolewa na Smile We Care.
Bila kupoteza muda tuanze kuangalia hatua kwa hatua Jinsi ya kujiunga na fursa ya Smile We Care.
Katika makala yetu iliyopita niligusia kidogo jinsi ya kujiunga na Smile We Care ambapo unatakiwa uwasiliane na aliyekushirikisha hiyo fursa ili akupatie namba za malipo ya kufungua akaunti ambayo ni Tsh 23000 sawa na Dollar $5 za Kimarekani. Kama utaona ni vigumu basi jiunge na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram upewe maelekezo namna ya kujiunga.
Jiunge na Group la Telegram Hapa
Jiunge na Group la WhatsApp hapa.
Kumbuka aliyekushirikisha hii fursa atakupa form ambayo unatakiwa uijaze kama inavyooneka hapa chini;
FOMU YA KUJIUNGA SMILE WE CARE
Jina la aliyekushirikisha--------
Jina ulipendalo (fupi)-------
Email yako (Barua pepe yako)-----------
Akaunti namba yako benki-----------
Majina yako kamili----
Jinsia yako -------------
Tarehe ya kuzaliwa ---------
Namba yako ya simu--------
Wilaya mkoa unapoishi na nchi---------
Ukiwa unajisaili utatakiwa kuwa na taarifa hizo.
Baada ya kujaza form fuata hatua zifuatazo;
√Wekeza Pesa, katika kuwekeza uta amua Kuanza Na Account 1,2, 3 au zaidi ya Smile we Care international
Soma pia: Jinsi ya Kupata Vocha ya 1000 kila siku bure mitandao yote.
√Kila Account ina funguliwa kwa kiasi cha Dollar 10 ambayo ni sawa na Tshs 23000 Kwa mantiki hiyo:-
Account 1ni Tsh 23000
Account 3 ni Tsh 69000
Account 7 ni Tsh 161,000
Account 14 Tsh 322,000
Kadiri unavyo wekeza kwa kufungua Accounts nyingi Upendavyo, ndivyo account hizo nyingi zinakutengenezea Kipato kingi Na zawadi nyingi Pia, ndivyo unavyo zidi kupanda stages kwa haraka.
Soma pia: Mambo Matano 5 Usiyoyafahamu Kuhusu Fursa ya Smile We Care.
Baada ya kujiunga akaunti itakuwa inaonekana namna hii.
Ukialika watu wawili Kujiunga pesa itaanza kuonekana kwenye akaunti yako kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;
Jinsi ya Kumsajili mtu kwenye Fursa ya Smile We Care
Kama tayari una akaunti unaweza kutumia njia hizi kumuunga mtu ndani ya Smile We Care na kupata Refferal bonus kutokana na kumuunga kwenye fursa hii.
Soma pia: Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kwa Kufupisha Link.
Kiufupi kuna njia mbili ambazo zinatumika Sana kujiunga na kumuunga mtu ndani ya Smile We Care
Angalia video hii kwa msaada wa haraka kuhusu namna ya kumuunga mtu Smile We Care
1. Njia ya kwanza, baada ya mtu unayetaka kumsajili kulipia gharama za usajili wa akaunti ambayo ni Tsh 23,000 sawa na $10
√Ingia kwenye account yako, bonyeza vimistari vitatu kama inavyooneka hapo chini
√Chagua sehemu iliyoandikwa
"Register new member"
Itatokea form ambayo utajaza taarifa zake za muhimu kama inavyooneka hapo chini.
Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kumfungulia akaunti.
KUMBUKA: Njia hii utaitumia kusajili watu wawili tu, na vizuri kuitumia kabla hujapata watu wawili wa kujiunga. Kama ushapata watu wawili wa kujiunga na ukaendelea kusajili watu kwa njia hii utachelewa kupanda stage. Hivyo basi kama ushapata watu wawili na ukataka kuunga wengine ili kupanda stage tumia njia hii ya pili nitakayoenda kuelezea hapo chini;
2.Njia ya pili, Hii ni njia nzuri ya kupanda stage kwa haraka na na wanachama wengi wa Smile We Care wanatumia njia hii. Hivyo basi, mara baada ya mtu unayetaka kumuunga kulipia gharama za usajili,
√Kama kawaida ingia kwenye akaunti yako
√Bonyeza vimistari vitatu upande wa kushoto, Kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Genealogy" kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;
√Kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Geonology Tree"
√Baada ya hapo utaletwa kwenye uwanja kama huu ambapo kuna miduara yenye orodha ya watu ambao umeshawasajili na miduara ambayo unatakiwa kusajili watu
√Bonyeza mduara mmojawapo ambao unataka kumuunga mtu,
√Baada ya kubonyeza kwenye mduara huo itatokea form ambayo utajaza taarifa za mtu unayetaka kumuunga kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;
Hongera! umefanikiwa kufahamu namna ya kumuunga au kumsajili mtu ndani ya fursa ya Smile We Care. SMILE WE CARE YES WE CARE!!
NB. Kwa ambao hawajajiunga na fursa hii, Kama umependa fursa hii na unatatamani kujiunga na fursa hii usisite kujiunga na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram kupata utaratibu wa kujiunga.
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM.
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP.
Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255746682797
+255621007268
Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) (jovinmwijage9@gmail.com) kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.
1 Comments
WhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon