Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya Kujiunga na Kumsajili mtu Katika Fursa ya Smile We Care

Leo ni siku nyingine ambayo nimeamua niwashirikishe namna ya kujiunga na fursa ya Smile We Care na namna ya kumsajili mtu ndani ya fursa ya Smile We Care.

Jinsi ya kujiunga na Smile We Care

Kama tujuavyo ndani ya kampuni ya Smile We Care kuna faida nyingi ikiwemo mafunzo ya ujasiriamali, ufadhili wa Elimu, misaada ya kijamii, na malipo kwa kila stage.


Fursa ndani ya kampuni ya Smile We Care
Hivyo basi ili ufaidi hivyo vyote yakupasa ujiunge na fursa hii ndo maana tumekuandalia hii makala kuhusu namna ya kujiunga au kufungua Akaunti na kampuni ya Smile We Care



Soma Pia: Haya ndiyo mafunzo 13 ya ujasiriamali yanayotolewa na Smile We Care.


Bila kupoteza muda tuanze kuangalia hatua kwa hatua Jinsi ya kujiunga na fursa ya Smile We Care.


Katika makala yetu iliyopita niligusia kidogo jinsi ya kujiunga na Smile We Care  ambapo unatakiwa uwasiliane na aliyekushirikisha hiyo fursa ili akupatie namba za malipo ya kufungua akaunti ambayo ni Tsh 23000 sawa na Dollar $5 za Kimarekani. Kama utaona ni vigumu basi jiunge na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram upewe maelekezo namna ya kujiunga.

Jiunge na Group la Telegram Hapa

Jiunge na Group la WhatsApp hapa.


Kumbuka aliyekushirikisha hii fursa atakupa form ambayo unatakiwa uijaze kama inavyooneka hapa chini;


FOMU YA KUJIUNGA SMILE WE CARE


Jina la aliyekushirikisha--------


Jina ulipendalo (fupi)-------


Email yako (Barua pepe yako)-----------


Akaunti namba yako benki-----------


Majina yako kamili----


Jinsia yako -------------


Tarehe ya kuzaliwa ---------


Namba yako ya simu--------


Wilaya mkoa unapoishi na nchi---------


Ukiwa unajisaili utatakiwa kuwa na taarifa hizo.


Baada ya kujaza form fuata hatua zifuatazo;


√Wekeza Pesa, katika kuwekeza uta amua Kuanza Na Account 1,2, 3 au zaidi ya Smile we Care international


Soma pia: Jinsi ya Kupata Vocha ya 1000 kila siku bure mitandao yote.


√Kila Account ina funguliwa kwa kiasi cha Dollar 10 ambayo ni sawa na Tshs 23000 Kwa mantiki hiyo:-


Account 1ni Tsh 23000

Account 3 ni Tsh 69000

Account 7 ni Tsh 161,000


Account 14 Tsh 322,000

Kadiri unavyo wekeza kwa kufungua Accounts nyingi Upendavyo, ndivyo account hizo nyingi zinakutengenezea Kipato kingi Na zawadi nyingi Pia, ndivyo unavyo zidi kupanda stages kwa haraka.


Soma pia: Mambo Matano 5 Usiyoyafahamu Kuhusu Fursa ya Smile We Care.

Baada ya kujiunga akaunti itakuwa inaonekana namna hii. 




Ukialika watu wawili Kujiunga pesa itaanza kuonekana kwenye akaunti yako kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;

Uthibitisho wa malipo ndani ya SMILE WE CARE


Jinsi ya Kumsajili mtu kwenye  Fursa ya Smile We Care

Kama tayari una akaunti unaweza kutumia njia hizi kumuunga mtu ndani ya Smile We Care na kupata Refferal bonus kutokana na kumuunga kwenye fursa hii.

Soma pia: Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kwa Kufupisha Link.

Kiufupi kuna njia mbili ambazo zinatumika Sana kujiunga na kumuunga mtu ndani ya Smile We Care

Angalia video hii kwa msaada wa haraka kuhusu namna ya kumuunga mtu Smile We Care



1. Njia ya kwanza, baada ya mtu unayetaka kumsajili kulipia gharama za usajili wa akaunti ambayo ni Tsh 23,000 sawa na $10

√Ingia kwenye account yako, bonyeza vimistari vitatu kama inavyooneka hapo chini

Jinsi ya Kujiunga na Smile We Care

√Chagua sehemu iliyoandikwa

"Register new member" 

Jinsi ya kufungua Account Smile We Care

Itatokea form ambayo utajaza taarifa zake za muhimu kama inavyooneka hapo chini. 

Form ya usajili Smile We Care


Jiunge na Smile We Care


Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kumfungulia akaunti.


KUMBUKA: Njia hii utaitumia kusajili watu wawili tu, na vizuri kuitumia kabla hujapata watu wawili wa kujiunga. Kama ushapata watu wawili wa kujiunga na ukaendelea kusajili watu kwa njia hii utachelewa kupanda stage. Hivyo basi kama ushapata watu wawili na ukataka kuunga wengine ili kupanda stage tumia njia hii ya pili nitakayoenda kuelezea hapo chini;


2.Njia ya pili, Hii ni njia nzuri ya kupanda stage kwa haraka na na wanachama wengi wa Smile We Care wanatumia njia hii. Hivyo basi, mara baada ya mtu unayetaka kumuunga kulipia gharama za usajili,

√Kama kawaida ingia kwenye akaunti yako

√Bonyeza vimistari vitatu upande wa kushoto, Kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Genealogy" kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;



√Kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Geonology Tree"

√Baada ya hapo utaletwa kwenye uwanja kama huu ambapo kuna miduara yenye orodha ya watu ambao umeshawasajili na miduara ambayo unatakiwa kusajili watu


√Bonyeza mduara mmojawapo ambao unataka kumuunga mtu,

Jinsi ya kujiunga na Smile We Care

√Baada ya kubonyeza kwenye mduara huo itatokea form ambayo utajaza taarifa za mtu unayetaka kumuunga kama inavyooneka kwenye picha hapo chini;




Hongera! umefanikiwa kufahamu namna ya kumuunga au kumsajili mtu ndani ya fursa ya Smile We Care. SMILE WE CARE YES WE CARE!!


NB. Kwa ambao hawajajiunga na fursa hii, Kama umependa fursa hii na unatatamani kujiunga na fursa hii usisite kujiunga na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram kupata utaratibu wa kujiunga.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP.

Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255746682797

+255621007268


Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) (jovinmwijage9@gmail.com) kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.




Post a Comment

1 Comments

Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.

WhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon