Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia tovuti ya Sproutgig au Picoworker

UPDATE: Picoworker imebadilisha jina kutoka Picoworker na sasa inajulikana kama Sproutgig

Kabla ya yote kama huna account ya 1XBET unaweza kujisajili kupitia hii link sehemu ya promo code weka PESA99 kwa herufi kubwa ili uweze kupata bonus ya asilimia 200%

Hello, wapenzi wasomaji wa blog hii kama ilivyo ada, katika blog hii huwa tunakuletea na kukuchambulia  njia tofauti za kutengeneza pesa mtandaoni.

** Tricks za kutengeneza $300 Kwa mwezi kwenye crypto BONYEZA HAPA

 Njia hizi ni bure kabisa hulipii chochote tofauti na kuwa na simu janja (smartphone) na kifurushi cha internet.

Soma pia: Jinsi ya kutengeneza pesa kupitia blog

Ni ukweli usiopingika kwamba unaweza kuingiza kipato online kwa njia nyingi ila kwa kuwa simu ndiyo mtaji wako mkubwa tafadhali jaribu crowd-sourcing sites ambazo huwa kuna shughuli ndogondogo zenye malipo madogo ila ukizifanya nyingi kwa siku malipo yatakuridhisha.


Zipo Crowd-sourcing sites nyingi kama vile Micro-Workers, Amazon Mechanical Turk (mTurk), Picoworkers, Clickworkers, Starclick.com, ukijisajili na Starclick.com, tovuti yao inakuwezesha kutengeneza dollar $5 kila siku ikiwa Wewe ni member ngazi ya "Gold"

Jiunge na Starclick hapa

Lakini katika makala ya leo nitaenda kukufahamisha kuhusu jinsi ya Kutengeneza pesa kupitia tovuti ya Picworkers ambayo nina uzoefu nayo na pia malipo yake yanaweza yakafika hadi kwa mitandao yetu ya simu.

Tengeneza pesa mtandaoni kupitia tovuti ya Picworker

Pia kama hutofurahishwa na njia hii unaweza kupitia kwa menu ya blog yetu chagua Sehemu iliyoandikwa "Tengeneza Pesa Mtandaoni" hapo kuna njia nyingi za kutengeneza pesa Mtandaoni tofauti na Sproutgig

Kwa Maelezo Zaidi Kuhusu Picoworker angalia hii video Hapa chini

 


 Katika makala hii nitaenda kukufahamisha kwa undani kuhusu Picworker, jinsi ya kujisajili na Picoworker, kazi zenye kulipa zaidi Picworker, namna ya kupata kipato haraka kupitia Picoworker na jinsi ya kutoa pesa zako hadi zikakufikia moja kwa moja mpaka kwenye simu yako ya mkononi. 

Kiufupi Picoworker ni site ambayo unaweza kujiingizia kipato kwa kufanya tasks ndogo ndogo online kama vile kuLike page facebook, Instagram, Twitter, etc, kuWatch video YouTube, kutembelea blog, websites, kuSignUp kwenye site mbalimbali na vingine vingi


Tasks hizi zinamalipo ya kuanzia dollar $0.03 hadi $2. Kwa siku unaweza kufanya tasks nyingi uwezavyo (ni muda wako tu), Kila siku katika site hii (Picoworkers) kuna zaidi ya tasks 1000+.


Ukiweza kufanya tasks, let's say 50 kwa siku @$0.05 (Kwa masaa 2-3) una $2.5.


JINSI YA KUJIUNGA NA PICWORKER.

Kama nilivyosema mwanzo kujiunga na Picoworker ni rahisi na ni bure kabisa.

Cha kufanya ingia katika website ya Picoworker au tumia hii link

Bonyeza hapa kujiunga na Picoworker au Sproutgig

Baada ya kuingia kwenye tovuti yao chagua sehemu iliyoandikwa "Sign up" kama inavyoonekana hapo chini Kwenye picha, fuata maelekezo, kwa kufanya hivyo utakuwa umefanikiwa kufungua akaunti yako ndani ya Picworker na utaanza kutengeneza pesa kupitia tovuti hii ya Picoworker

Jinsi ya Kutengeneza pesa mtandaoni kupitia tovuti ya Picworker

LINK MUHIMU KATIKA MAKALA HII

Bonyeza hapa kujiunga na Picoworker

Bonyeza hapa kujiunga na Starclick.com

Bonyeza hapa kujiunga na REMITANO

Bonyeza hapa kujiunga na Clickworker

Bonyeza hapa kujiunga na Amazon Turk

Bonyeza hapa kujiunga na Micro-worker


Njia za malipo ndani ya Picworker ipo hivi

Uki Sign-Up kwa mara ya kwanza unapewa bonus ya $0.5.


Unaruhusiwa kuWithdraw pale salio lako linapofika kuanzia $5.4 (bonus excluded).

Soma pia: Jinsi kutengeneza pesa Mtandaoni kwa kufupisha link

Njia zaalipo ni kwa PayPal, Skrill na Litecoin

Kama hauna akaunti ya PayPal na Skrill basi unaweza kuWithdraw kupitia Litecoin ambapo pesa yako utaipata M-Pesa.

Na kama ungependa kufungua Akaunti ya PayPal bonyeza hapa kufungua, pia ukitaka kupokea malipo yako moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi bonyeza hapa kuunganisha au kulink Lain yako ya Safaricom  na akaunti yako ya PayPal.

Kama umeamua kutoa pesa zako kupitia Litecoin ni lazima  utajiuliza hili swali, "Kivipi Pesa utaipata M-Pesa kwa Litecoin"?

Kama umeshawai kutumia localbitcoins basi hapa kutumia REMITANO hutashindwa.

Unachotakiwa kufanya ni kuingia Kwenye tovuti ya REMTANO tengeneza akaunti yako na kuiverify ambapo utakuwa na wallet. Utapewa address za Litecoin na coins zingine.


Jiunge na REMITANO hapa


Wakati wa KuWithdraw kutoka Picworkers utachagua Litecoins kama njia ya malipo na utaweka address zako za Litecoins na pesa yako utaipata ndani ya siku tatu (japo malipo yanweza kuchelewa zaidi ya hapo)

Kutoa Coin zako kutoka REMITANO kwenda M-Pesa huwa kunakuwa na buyers wa coins kama ilivyo kwa Localbitcoins na pesa unatumiwa M-Pesa.



Kumbuka:  Kwenye tovuti ya REMITANO ili uweze kuuza Litecoins zako zinatakiwa ziwe na thamani ya kuanzia $6


Links za Kujiunga 

SIGN-UP PICOWORKERS 


SIGN-UP REMITANO 

Note: Hizo hapo juu ni Referral Links


UZURI NA UBAYA WA TOVUTI YA PICWORKER

Uzuri

➡️Ni bure kujiunga na fursa hii, unachotakiwa kuwa nacho ni kifurushi chako cha intaneti na smartphone au kompyuta.

➡️Njia rahisi na za uhakika za kutoa pesa yako

➡️Kazi nyingi za kufanya kwenye tovuti yao, yaani ni wewe na mda wako.

Soma pia: Tumia njia hii kujipatia vocha ya 1000 bure mitandao yote


Ubaya

➡️ Kulingana na uzoefu wangu Kwenye tovuti ya Picoworker Changomoto niliyokutana nayo ni kwamba inachukua mda mrefu kutengeneza pesa nyingi kwa sababu kazi nyingi zina pesa ndogo.


Hivyo basi ili utengeneze kiasi kikubwa ndani ya tovuti hii yakupasa kuwa mvumilivu, kufanya kazi kwa bidii ikiwa ni pamoja na kujiwekea ratiba ya kuingia kwenye tovuti ya Picworker na kufanya kazi ambazo zinawekwa kila siku.

Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa email johonline2@gmail.com

Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) johonline2@gmail.com kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.

Usipitwe na makala mpya kwa kujiunga na magroup yetu ya Telegram na WhatsApp

GROUP NO. 1

GROUP NO. 2

GROUP NO. 3


Cheers!🥂🥂

Post a Comment

0 Comments