Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Mafunzo 13 ya Ujasiriamali Yanayotolewa na Smile We Care

Mbali na kuwawezesha wanachama wake kupata pesa pale wanapokaribisha wanachama wapya kwenye fursa hii, pia Kampuni ya Smile We Care International tangu ianzishwe imekuwa ikitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanachama wake.


Soma pia: Mambo Matano 5 ya kufahamu kabla hujaamua kujiunga na Smile We Care.


Ifuatayo ni orodha ya mafunzo 13 ya ujasiriamali yanayotolewa na kampuni ya Smile We Care;

Mafunzo yanayotolewa na Smile We Care

1. Teknolojia ya jukwaa

2. Urembo/uzuri

3. Mafunzo ya kilimo cha kisasa

4. Mafunzo kidogo juu ya utumiaji pesa


5. Mafunzo ya vipodozi sabuni 

Mafuta ya kujipaka na dawa za meno

6. Mafunzo ya kuvua samaki

7.Mafunzo ya kuvua konokono

8. Kutengeneza tovuti

9. Kuunganisha CCTV

10. Mambo ya msingi kwenye vifaa vya kompyuta

11. Ujuzi wa kujifunza tarakimu au ufahamu wa kompyuta

12. Kuanza usafirishaji wa bidhaa kutoka Nigeria

13. Jinsi ya Kutambua masoko ya Kibiashara.


Angalia video hii ili uelewe zaidi kuhusu mafunzo ya Smile We Care na namna ya kuyadownload kutoka Kwenye account yako ya Smile We Care.



Mbali na kutoa mafunzo ya ujasiriamali, kampuni pia inawasaidia wanachama na wasio wanachama kama ifuatayo

(i) Mafunzo juu ya njia nzuri za kilimo cha manufaa



(ii) Ufadhili wa masomo

Ufadhili wa Elimu na Smile We Care


(iii)Kutoa msaada wa vyakula kwa wanachama na wasio wanachama.


(iv) Kutoa msaada wa kibinadamu kwa yatima, na makundi mengine maalumu ya watu wasiojiweza.



(v) Kutoa zawadi ya vyombo vya nyumbani mfano Brenda, jiko Tv na vifaa vingine Kedekede.



Je mafunzo ya ujasiriamali nayapata wapi?

Kuna njia tatu za kupata mafunzo ya ujasiriamali kupitia kampuni ya Smile We Care

1. Kupitia semina. Kupitia semina mbalimbali zinazoandaliwa na kampuni ya Smile We Care unaweza kupata hayo mafunzo. Kwa upande wa Tanzania kampuni hii imeshafanya semina mikoa tofauti tofauti ikiwemo Dar es Salaam, Moshi, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma n.k

2. Download mafunzo kutoka kwenye akaunti yako ya Smile We Care. Ikumbukwe kuwa wakati unajisajili kujiunga na fursa hii utaambiwa uchague mojawapo ya mafunzo ambayo unataka kampuni ikufundishe.


Soma pia: Jinsi ya kufungua akaunti Smile We Care hatua kwa hatua.

Hivyo basi baada ya usajili kukamika ingia kwenye account yako bonyeza vimistari vitatu upande wa kulia Kisha bonyeza Sehemu iliyoandikwa "Transaction" 


kama inavyooneka kwenye picha hapo juu kutatokea machaguzi mengi chagua Sehemu iliyoandikwa "Download Training"

Baada ya kubonyeza hapo utaona file lenye mafunzo uliyochagua wakati wa kufungua akaunti. 


Scroll kwa mbele utaona Sehemu iliyoandikwa "Download" ibonyeze kama inavyooneka kwenye picha.

 Baada ya kufanya hivyo utakuwa umefanikiwa kudownload mafunzo ya ujasiriamali,unaweza kujisomea mwenyewe na kuyafanyia kazi yale uliyosoma.

Soma pia: Njia 5 halali za kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa na Internet

3. Kupitia Makundi (Groups) ya WhatsApp na Telegram

Pia mafunzo ya ujasiriamali unaweza kuyapata kwa kujiunga na magroup yao ya Telegram na WhatsApp.


JIUNGE GROUP LA TELEGRAM


JIUNGE GROUP LA WHATSAPP


UPEKEE WA SMILE WE CARE


1. hakuna kununua bidhaa 

2. Hakuna kusambaza bidhaa 

3. Hakuna ada ya mwezi (monthly renewal) 

4.Hakuna malipo ya matengenezo ya mfumo (makampuni yasiyojiweza huwakata wanachama wake kila mwezi , maintenance fees) 

5. Ni mfumo salama 100%

6. Kiingilio kidogo 23,000 tshs ( kila mtu Ana mudu)

7. Unawaalika watu wawili tu (2).

8. Nao jukumu Lao nikualika watu wawili pekee 

√9. Malipo ya dollars zako yanafanywa na kampuni yenyewe papo kwa papo, ( hakuna kusumbuana na watu kwanini hujanitumia pesa) 

Angalia hiyo picha kama kithibitisho



√10. Usalama wa pesa zako ni asilimia Mia moja,  

√11. Zawadi zitolewazo na smile we care ni nyingi na zenye thamani kubwa kuliko makampuni yenye kiingilio kikubwa cha maelfu, laki au hata mamilioni ya pesa (chunguza hili utagundua) 

√12. Yeyote yule anaweza kuwa mwanachama 


√Yote niliyoorodhesha hakuna mtu alie serious atashindwa kuyamudu.

Huo ndio upekee wa smile we care.


Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa email johonline2@gmail.com

Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) johonline2@gmail.com kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.




Post a Comment

0 Comments