Tumekuandalia Maswali 13 yaliyoulizwa na wengi huenda na wewe unajiuliza pia fuatilia hapa kisha unaweza uliza na wewe swali lako tukueleweshe zaidi juu ya Smile We Care International;
Swali la 1
Smile we care International inajihusisha na nini?
Jibu
Inajihusisha na uwekezaji wa mitaji na kuinua watu kiuchumi na pia kuwapa mafunzo ya ujasiriamali pamoja na kuwapatia mitaji ya kufanyia biashara
"You learning while you earning"
Swali la 2
Kiingilio ni shilingi ngapi?
Jibu
Ni dollar $10 ambayo ni sawa na Tsh 23,000 hii ina tegemea na exchange rate.
Angalia Hii video kuhusu maswali Yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Fursa ya Smile We Care
Swali la 3
Nikimuunga mtu nalipwa kwa njia gani? Na nawezaje kuipata moja kwa moja hadi kwenye simu yangu ya mkononi
Jibu
Ukimuunga mtu utalipwa Referral Bonus Dollar 2 sawa na Tsh 46000 inaingizwa hapo hapo kwenye akaunti yako ya Smile we care International
Swali la 4
Natakiwa kuwa na elimu gani ili kujiunga na Smile We Care International
Jibu
Huhitaji kuwa na elimu kubwa
Chamsingi tu n kujua kusoma na kuandika bila kujari ina Elimu kubwa au ndogo.
Swali la 5
Vitu gani vinahitajika ili kufunguliwa account yangu haraka?
Soma pia: Mambo Matano Muhimu ya Kufahamu kabla hujajiunga na Smile We Care.
Jibu
Unahitaji kuwa na Tshs 23, 000 kwa account moja na pia utume taarifa zifuatazo kwa upliner wako yaani aliyekushirikisha fursa hii;
Jina la aliyekushirikisha------
Jina unalopenda Kutumia-----------
Nywila (Password)-----------
Barua pepe (email)-----------------
Jina la Benki......
Namba ya Akaunti......
Jina kamili---------
Jinsia----------------
Tarehe ya kuzaliwa
Namba ya simu---
Anwani yako--------------
Jiji-------------
Nchi---------------
www.smilewecarengo.com
Swali la 6
Je naweza kumiliki account zaidi ya moja?
Jibu
Unaruhusiwa kumiliki account nyingi uwezavyo.
Swali la 7
Iwapo nimejiunga na nikakosa watu wa kujiunga chini yangu au sina uwezo wa kutafta watu inakuwaje hapo?
Jibu
Tunafanya kazi kama "team work" hivyo kuna watu zaidi ya 10 wanapohangaika kutimiza ndoto zao za kupanda stage ni lazima wewe pia upande stage yaani upate watu
Hivyo kuna mtu wa juu yako anataka upate watu ili yeye alipwe na wewe ulipwe pia wa juu zaidi anahitaji wewe upate watu ili na yeye pia apande stage.
NOTE: Hakuna aliyefanikiwa kwenye Network Marketing peke yake, we work together for successful business.
Swali la 8
Je ni faida ipi nitakayo pata baada ya kujiunga
Jibu
Utapa faida ya mafunzo ya Ujasilimali
Bonyeza hapa kuona Orodha ya mafunzo na ujuzi unaopatikana katika Fursa ya Smile we care
Pia utapata malipo pindi unapo maliza Stage/Daraja
Stages na malipo yake ni kama ifuatavyo;
Induction unalipwa
46,000T.shs
STAGE1 (SILVER) unalipwa
322,000T.shs
STAGE2(DIAMOND) unalipwa
1,150,000T.shs
STAGE3 (GOLD) unalipwa
9,200,000 T.shs
STAGE4(AMBASSADOR) unalipwa
56,120,000 T.shs
STAGE5(STAR DIRECTOR) unalipwa 151,800,000 T.shs
Vile vile unapata malipo ya kila mwezi unapofika:-
Stage 2 unalipwa kiasi cha Dollar $40 = Tshs 92000 kila mwezi kwa muda wa miezi 5
Stage 3 unalipwa kiasi cha Dollar $80= Tshs 184000 kila mwezi kwa muda wa miezi 12
Stage 4 unalipwa kiasi cha Dollar $80= Tshs 184000 kila mwezi kwa muda wa miezi 24
Stage 5 unalipwa kiasi cha Dollar $200= Tshs 460000 kila mwezi kwa muda wa miaka 5
Swali la 9
Je kuna njia ngapi za kufanya malipo ndani ya Smile We Care?
Unaweza kufanya malipo swci kupitia;
1. Bitcoin
2. Etherium
3. Paypal
4. moneygram
5. M-pesa
6. Tigo-pesa
7. Airtel-Money
8. Halopesa
9. T-pesa
Karibu sana Smile We Care International inajali tabasamu lako (23,000).
Swali la 10
NI KIVIPI NAWEZA KUPATA WATU WAKUWASHIRIKISHA?
Unaweza kupata watu wa kuwashirikisha katika sehemu/mazingira tofauti kama vile:-
√Marafiki zako wa shule Primary/Secondary hata Chuo
√Watu wako wa karibu waliokuzunguka
√Kanisani/Msikitini
√Kijijini kwako na watu wa mtaani kwako unaweza kuwashirkisha
√Familia yako wote, yani wakubwa hata wadogo
√Offisini/sehemu ambayo unanyia kazi
√Wateja wako katika shuhuli zako za kila siku
√Watu uliowahifadhi katika simu yako
√Marafiki zako wa Whatsapp
√Marafiki zako wa Instagram
Soma pia: Jinsi ya kujiunga na Kumuunga mtu Smile We Care
√Marafiki zako wa Facebook
√Marafiki zako wa Telegram
√Marafiki zako wa Twitter
√Marafiki zako wote Wa Social Media Unaweza washirikisha
√Hata kwa wale ambao hua unapata muda wakukaa nao katika kupanga mambo yenu Yakimaendeleo
√Na pia Katika vikao vyako vyakimaendeleo.
Kwa Kweli orodha haina mwisho.
KUMBUKA: Unahitajika Kueka Watu Wawili Tu Walio Active
Network Marketing&Team Work Ni Biashara Rahisi Sana Kama Utaamua.
Swali la 11
JE KAMPUNI INAPATA WAPI FAIDA YA KUJIENDESHA PAMOJA NA KUWALIPA WANACHAMA WAKE?
Kampuni imejizatiti sana inadeal na karibia vyote inavyofundisha
Ukiona Smile We Care inakupa mafunzo ya ufugaji samaki na wao wanafuga samaki sana tu.
√Utengenezaji wa sabuni, mafuta, keki, mikate, rangi, kilimo, urembo/make-up, ufugaji, mafunzo ya kompyuta, utengenezaji wa website, blog, CCTV installation, Video production, elimu juu ya ujasiriamali n.k. Hivyo vyote vinafanywa na kampuni.
√Kwahiyo chukua zile course zote 13 zinazotolewa na kampuni,
Ni miradi ya kampuni
Pia wewe unapojiunga asilimia 20 inaenda kwa aliyekuunga asilimia 80 unaingia kwenye uzalishaji mali kwenye miradi ya kampuni.
Pia humo humo kwenye asilimia 80 kampuni inatoa pesa kusaidia wahitaji ambao ni yatima, wajane, wasiojiweza na kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Pia kampuni imeingia ubia na mashirika mbalimbali yanayotoa huduma za Kijamii.
Swali la 12
MAENEO AMBAYO SMILE WE CARE WANATOA HII FURSA
Soma pia: Njia ya kupata Vocha ya 1000 bure Mitandao yote Kila siku
Zifuatazo ni nchi ambazo Smile We Care wanafanya kazi na gharama za usajili kwa kila nchi
✓ Naigeria 🇳🇬 N 2500
✓ Ghana 🇬🇠Gh¢60.00
✓Tanzania 🇹🇿 Tsh 23,000
✓Kenya 🇰🇪 Ksh 1046
✓Malawi 🇲🇼 Mk 7400
✓Zambia 🇿🇲 ZMK 140
✓ Burundi 🇧🇮 BIF 18334
✓ DRC 🇨🇩 CDF16355
✓ Rwanda 🇷🇼 lRWF 8992
✓ Uganda 🇺🇬 UGX 37184
✓ South Sudan SSP 1294 ✓Mozambique 🇲🇿 MZN 641
✓ Angola🇦🇴 AOA 3161
✓ Namibia 🇳🇦 *NAD 139
✓ South Africa 🇿🇦 ZAR 139
✓Cameroon 🇨🇲 6000frs
✓Liberia 🇱🇷 $2000
Ndio maana tunasema Smile We Care ni "International Company"
Kwaiyo usije ukadhani hii fursa ipo hapa Tanzania tu. Hapana, unakosea. Fursa hii ya Smile We Care ipo katika nchi mbalimbali kama inavyoainishwa hapo juu.
IKUMBUKWE: Fursa hii iliingia hapa nchini mnamo Tarehe 01/02/2019. Mtu wa kwanza kuipokea fursa hii anaitwa Mr. JUMA ABDALLAH DEDU ambaye ndiyo C.E.O kwa hapa nchini. Kampuni ilipata usajili rasmi Tarehe 02 July, 2019, na kutambulika rasmi kuwa kampuni halali.
Swali la 13
Je nitatambuaje kama hii fursa ni halali?
Baadhi ya watu hawaamini kama SMILE We CARE NI FURSA HALALI
Ukipata muda ingia kwenye simu yako
√Search
√Baada ya hapo ingia kwenye mtandao wowote wa kijamii mfano Facebook au Instagram search SMILE WE CARE INTERNATIONAL
√ Baada ya hapo ingia YOUTUBE search SMILE WE CARE kuna video nyingi zinaelezea kuhusu fursa hii ya SMILE WE CARE
√Nina imani hofu uliyonayo kuhusu uhalali wa SMILE WE CARE itapungua.
Pia unaweza kusaidiwa zaidi kuhusu fursa hii, mfano namna ya kulipia na namna ya kutoa pesa kwenye akaunti yako kwa kujiunga na magroup yetu ya WhatsApp na Telegram ya Smile We Care.
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAPP.
Kama Ungependa kutengenezewa Youtube Channel au Blog/website usisite kuwasiliana nasi kwa email johonline2@gmail.com
Je una maoni au swali lolote? Tafadhali andika maoni au mchango kupitia barua pepe(email) johonline2@gmail.com kisha washirikishe wengine makala hii. Kwa leo naishia hapa, tukutane kwenye makala hijayo panapo majaliwa.
0 Comments