Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya Kutengeneza pesa mtandaoni kupitia EazyCash

 


Katika mfululizo wa kukuletea makala mbali mbali zinazoelezea njia za kutengeneza pesa mtandaoni, leo tumekuletea njia ya Kutengeneza pesa mtandaoni inayoitwa EazyCash

Njia za kutengeneza pesa Kupitia Eazycash

1. Kujibu maswali (Trivia Questions)

Katika website ya EazyCash kuna maswali tofauti tofauti yanayoulizwa na ukijibu kwa usahihi unalipwa. Mfano unaweza kuulizwa njia mkuu wa Nairobi unaitwaje? ukijibu kwa usahihi unalipwa.

Soma Pia: Ajira zilizotangazwa leo

2. Kukaribisha watu kujiunga

Ukijiunga EazyCash utapewa link maalum ambapo ukiwakaribisha marafiki zako utalipwa. 

Malipo kupitia kukaribisha watu umegawanyika katika hatua tatu hatua ya kwanza mfano Mwita amemkaribisha Rachel Mwita atalipwa Ksh 300 sawa na Tsh 6000 na Rachel akimukaribisha Mngai Mwita anapata Ksh 100 sawa na Tsh 2000 na Mngai akimukaribisha Japheth, hapo Mwita analipwa Ksh 50 sawa na Tsh 1000.

3. Spinning (kuzungusha spinner)

Katika Tovuti ya EazyCash kuna mduara ambao ukiuzungusha unalipwa pia.

4. Kutunza pesa kwa kununua mda wa maongezi kwa bei nafuu. Katika Tovuti ya EazyCash kama umetengeneza pesa kadhaa unaweza kununua mda wa maongezi kwa bei nafuu tofauti na kununua kwenye mitandao ya simu.

5. Kuandika Makala (Blog Content)

Katika Tovuti ya EazyCash ukiandika kitu chochote kikasomwa au kutazamwa na watu wengi unalipwa pia.

Jinsi ya kujiunga

Hatua ya kwanza

Katika hatua hii jaza taarifa zako za muhimu mfano username (jina unakopenda kutumia) namba ya simu nchi unayotokea. Eazycash ipo Kenya, Uganda, Tanzania na Nigeria.

Hatua ya Pili

 Jinsi ya Kulipia gharama ya kufungua Account. Gharama ya kufungua Account ni Ksh 500 sawa na 12,000 ya Kitanzania. Kama unatokea Kenya baada ya kufungua Account subiri sekunde chache utaletewa ujumbe wa kulipia pesa kama unatumia lain ya Safaricom.

Kama unatokea Tanzania Tumia njia hii kulipia gharama ya kufungua Account;


*Jinsi Ya Kulipia* kama unatokea Tanzania:


1 Piga *150*00#

2 Tuma Pesa

3 Tuma Pesa Kimataifa

4 Mpesa Kenya

5 Tuma Pesa

6 Weka Kiasi Cha 12000TZS

7 Sababu Ya Kutuma Weka *FAMILIA* Kisha Namba Hii(254745065423

SIMON KAMONDE)

8 Alafu Eka Number Ya Siri


Kisha Tuma Screenshot Ya Malipo,nambari umesajili eazycash na username

 Kwenye Hii Number Kutumia WhatsApp (+254793764850)



Kumbuka hiyo namba ipi WhatsApp hivyo kama unatokea Tanzania isave anza na code +254 Ili iwe rahisi kuwasiliana na mwanzilishi wa EazyCash.

Baada ya kulipia utatuma screenshot, username uliyotumia kufungua Account EazyCash na namba ya simu uliyotumia kufungua Account Yako EAZYCASH kwenye hiyo namba hapo juu kupitia WhatsApp subiri sekunde kadhaa Account Yako itakuwa tayari na utaanza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia EazyCash

Kama unatokea Tanzania ni vizuri ukatumia namba ya Vodacom kwa sababu itakuwa rahisi kupokea pesa zako kupitia M-Pesa.

Hatua ya tatu

Ingia au Login kwenye account yako, kopi Refferal link, share kwa marafiki zako wasipitwe na fursa hii. Pia ingia sehemu iliyoandikwa Trivia, Spin uanze kutengeneza pesa mtandaoni.



Uthibitisho wa Kuwa EazyCash ni Hali na siyo utapeli.

Hapo chini ni mihamala ambayo nimeifanya na kufanikiwa kutoa pesa hadi mpaka ikanifikia kwenye simu yangu.






Jiunge na EazyCash sasa BONYEZA HAPA


Pia unaweza kujiunga kwenye magroup yetu ya WhatsApp na Telegram kama hujaelewa sehemu yoyote ile kwenye makala hii 

TELEGRAM

BONYEZA HAPA

WHATSAPP

BONYEZA HAPA


Post a Comment

1 Comments

MYRINE said…
Good article also you can visit us for more Article like this via https://www.vanforumtz.com